sw_tn/jer/10/23.md

353 B

Mwaga hasira zako kwa mataifa

"Waadhibu vikali watu wa mataifa"

wamemla Yakobo na kumwangamiza kabisa na kuyafanya makao yake kuwa ukiwa

Neno "kumla" na "kumwangamiza" yanamaanisha kitu kilekile yanayomaanisha "kumwangamiza kabisa" Tametumika kuonesha uharibifumkubwa kwa Israeli.

kuyafanya makao yake kuwa ukiwa

"kuharibu nchi ambayo hukaa"