sw_tn/jer/10/19.md

491 B

Taarifa kwa ujumla

Yeremia anaongea kana kwamba yeye ndiye kabila yote ya Israeli.

Ole wangu! kwa sababu ya mifupa yangu iliyovunjia, jeraha zangu zimeumia

"Tuko katika huzuni kubwa kama mtu ambaye mifupa yake imevunjika na kuumia"

Hema yangu imeharibiwa, na kamba za hema yangu zote zimekatwa.

"adaui ameuharibu mji kabisa"

Wamewachukua

"adaui wamechukua"

Hakuna tena mtu wa kuitandaza hema yangu au wa kuziinua pazia za hema yangu

"Hakuna mtu wa kuujenga tena mji wetu"