sw_tn/jer/10/19.md

20 lines
491 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Taarifa kwa ujumla
Yeremia anaongea kana kwamba yeye ndiye kabila yote ya Israeli.
# Ole wangu! kwa sababu ya mifupa yangu iliyovunjia, jeraha zangu zimeumia
"Tuko katika huzuni kubwa kama mtu ambaye mifupa yake imevunjika na kuumia"
# Hema yangu imeharibiwa, na kamba za hema yangu zote zimekatwa.
"adaui ameuharibu mji kabisa"
# Wamewachukua
"adaui wamechukua"
# Hakuna tena mtu wa kuitandaza hema yangu au wa kuziinua pazia za hema yangu
"Hakuna mtu wa kuujenga tena mji wetu"