# Taarifa kwa ujumla Yeremia anaongea kana kwamba yeye ndiye kabila yote ya Israeli. # Ole wangu! kwa sababu ya mifupa yangu iliyovunjia, jeraha zangu zimeumia "Tuko katika huzuni kubwa kama mtu ambaye mifupa yake imevunjika na kuumia" # Hema yangu imeharibiwa, na kamba za hema yangu zote zimekatwa. "adaui ameuharibu mji kabisa" # Wamewachukua "adaui wamechukua" # Hakuna tena mtu wa kuitandaza hema yangu au wa kuziinua pazia za hema yangu "Hakuna mtu wa kuujenga tena mji wetu"