sw_tn/jer/10/11.md

394 B

Taarifa kwa ujumla

Mungu anamwambia Yeremia

Aliyeiumba dunia kwa nguvu zake ... kwa fahamu zake

"Muumbaji yuko imara na mwenye hekima. Alitengeneza dunia na anga."

Sauti yake ndiyoitengenezayo muungurumo wa maji

"Yeye hutawala dhoruba angani kwa kuongea"

naye huzileta mbingu katika mwisho wa dunia

"Hutengeneza mawingu dunianikote"

hazuna yake

ni jengo ambalo vitu hutunzwa