sw_tn/jer/10/11.md

20 lines
394 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Taarifa kwa ujumla
Mungu anamwambia Yeremia
# Aliyeiumba dunia kwa nguvu zake ... kwa fahamu zake
"Muumbaji yuko imara na mwenye hekima. Alitengeneza dunia na anga."
# Sauti yake ndiyoitengenezayo muungurumo wa maji
"Yeye hutawala dhoruba angani kwa kuongea"
# naye huzileta mbingu katika mwisho wa dunia
"Hutengeneza mawingu dunianikote"
# hazuna yake
ni jengo ambalo vitu hutunzwa