# Taarifa kwa ujumla Mungu anamwambia Yeremia # Aliyeiumba dunia kwa nguvu zake ... kwa fahamu zake "Muumbaji yuko imara na mwenye hekima. Alitengeneza dunia na anga." # Sauti yake ndiyoitengenezayo muungurumo wa maji "Yeye hutawala dhoruba angani kwa kuongea" # naye huzileta mbingu katika mwisho wa dunia "Hutengeneza mawingu dunianikote" # hazuna yake ni jengo ambalo vitu hutunzwa