sw_tn/jer/10/01.md

415 B

Taarifa kwa ujumla

BWANA amemaliza kuwakumbusha watu wa Yuda, pamoja na Misri, Edomu, Amoni, Moabu, na watu wote ambao wataadhibiwa

msijifunze njia za mataifa

"Msifuate imani ya mataifa ya Kipagani "

msishangazwe

"kuwa na mashaka" au "kuogopa"

na ishara za mbinguni

"kwa vitu vigeni angani"

kwa kuwa mataifa hushangazwa na haya

"kwa kuwa watu wa mataifa huogopa vitu vigeni wanavyoviona angani"