# Taarifa kwa ujumla BWANA amemaliza kuwakumbusha watu wa Yuda, pamoja na Misri, Edomu, Amoni, Moabu, na watu wote ambao wataadhibiwa # msijifunze njia za mataifa "Msifuate imani ya mataifa ya Kipagani " # msishangazwe "kuwa na mashaka" au "kuogopa" # na ishara za mbinguni "kwa vitu vigeni angani" # kwa kuwa mataifa hushangazwa na haya "kwa kuwa watu wa mataifa huogopa vitu vigeni wanavyoviona angani"