sw_tn/jer/10/01.md

20 lines
415 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Taarifa kwa ujumla
BWANA amemaliza kuwakumbusha watu wa Yuda, pamoja na Misri, Edomu, Amoni, Moabu, na watu wote ambao wataadhibiwa
# msijifunze njia za mataifa
"Msifuate imani ya mataifa ya Kipagani "
# msishangazwe
"kuwa na mashaka" au "kuogopa"
# na ishara za mbinguni
"kwa vitu vigeni angani"
# kwa kuwa mataifa hushangazwa na haya
"kwa kuwa watu wa mataifa huogopa vitu vigeni wanavyoviona angani"