sw_tn/jer/09/25.md

28 lines
720 B
Markdown

# Taarifa kwa ujumla
Haya ni maneno ya BWANA
# siku zinakuja
"kutatokea wakati"
# asema BWANA
Tazama 1:7
# nitakapowaadhibu wote ambao hawajatahiriwa ambao wako hivyo hivyo katika miili yao
Hii inamaanisha watu wa Israeli ambao wameingia katika agano la BWANA kwa kutahiriwa ki mwili, lakini hawakufuata sheria zake.
# Na watu wote wanaonyoa denge
Hii inawezekana kumaanisha wale watu wanaokata nywele zao kuwa fupi kwa lengo la kuabudu miungu ya kipagani.
# Kwani mataifa yote haya hayajatahiriwa
"Kwa sababu mataifa yote haya hayajaingia kwenye agano na BWANA kwa njia ya tohara."
# na nyumba yote ya Israeli ina moyo ambao haujtahiriwa.
"na nyumba yote ya Israeli hawajalinda agano LA BWANA kwa kumtii."