# Taarifa kwa ujumla Haya ni maneno ya BWANA # siku zinakuja "kutatokea wakati" # asema BWANA Tazama 1:7 # nitakapowaadhibu wote ambao hawajatahiriwa ambao wako hivyo hivyo katika miili yao Hii inamaanisha watu wa Israeli ambao wameingia katika agano la BWANA kwa kutahiriwa ki mwili, lakini hawakufuata sheria zake. # Na watu wote wanaonyoa denge Hii inawezekana kumaanisha wale watu wanaokata nywele zao kuwa fupi kwa lengo la kuabudu miungu ya kipagani. # Kwani mataifa yote haya hayajatahiriwa "Kwa sababu mataifa yote haya hayajaingia kwenye agano na BWANA kwa njia ya tohara." # na nyumba yote ya Israeli ina moyo ambao haujtahiriwa. "na nyumba yote ya Israeli hawajalinda agano LA BWANA kwa kumtii."