sw_tn/jer/09/23.md

28 lines
646 B
Markdown

# Taarifa kwa ujumla
Haya ni maneno ya BWANA
# Usimwache mtu mwenye busara ajivuna kwa ajili ya hekima yake
"Mtu mwenye busara asijivune kwa sababu yeye ni mwenye hekima"
# Usimwache mtu tajiri ajivunie utajiri wake
"Mtu tajiri asijivune kwa sababu ni tajiri"
# acha iwe hivi, yeye awe na busara na kunijua mimi
"kwamba anajua kuwa mimi ni nani na kuishi katika njia ambazo zinanipendeza mimi"
# Kwa kuwa momi ni BWANA
"Kwa sababu watu wanapaswa kujua kuwa mimi ni BWANA"
# Ni katika hili kwamba ninafurahia
"Na inanifurahisha mimi watu wanapoishi kwa uaminifu katika agano, kwa haki na katika hukumu za haki
# asema BWANA
Tazama1:7