# Taarifa kwa ujumla Haya ni maneno ya BWANA # Usimwache mtu mwenye busara ajivuna kwa ajili ya hekima yake "Mtu mwenye busara asijivune kwa sababu yeye ni mwenye hekima" # Usimwache mtu tajiri ajivunie utajiri wake "Mtu tajiri asijivune kwa sababu ni tajiri" # acha iwe hivi, yeye awe na busara na kunijua mimi "kwamba anajua kuwa mimi ni nani na kuishi katika njia ambazo zinanipendeza mimi" # Kwa kuwa momi ni BWANA "Kwa sababu watu wanapaswa kujua kuwa mimi ni BWANA" # Ni katika hili kwamba ninafurahia "Na inanifurahisha mimi watu wanapoishi kwa uaminifu katika agano, kwa haki na katika hukumu za haki # asema BWANA Tazama1:7