sw_tn/jer/09/23.md

646 B

Taarifa kwa ujumla

Haya ni maneno ya BWANA

Usimwache mtu mwenye busara ajivuna kwa ajili ya hekima yake

"Mtu mwenye busara asijivune kwa sababu yeye ni mwenye hekima"

Usimwache mtu tajiri ajivunie utajiri wake

"Mtu tajiri asijivune kwa sababu ni tajiri"

acha iwe hivi, yeye awe na busara na kunijua mimi

"kwamba anajua kuwa mimi ni nani na kuishi katika njia ambazo zinanipendeza mimi"

Kwa kuwa momi ni BWANA

"Kwa sababu watu wanapaswa kujua kuwa mimi ni BWANA"

Ni katika hili kwamba ninafurahia

"Na inanifurahisha mimi watu wanapoishi kwa uaminifu katika agano, kwa haki na katika hukumu za haki

asema BWANA

Tazama1:7