sw_tn/jer/09/07.md

24 lines
596 B
Markdown

# Taarifa kwa ujumla
BWANA anaendelea kuongea juu ya watu wa Yuda.
# binti wa watu wangu
Tazama 4:11
# Ndimi zao ni mishale iliyochongoka
Ndimi huumiza watu kwa uongo katika njia sawa na mishale iliyochongoka inavyoumiza
# Kwa midomo yao wanatangaza amani pamoja na jirani zao
"Wanasema kwa maneno yao kuwa wanataka amani na majirani zao."
# lakini katika mioyo yao wanadanganya wakati wa kusubiri
"lakini katika uhalisia wanataka kuwaangamiza jirani zao."
# Kwa nini nisiwaadhibu kwa sababu ya mambo haya ... kwa nini nisijilipizie kisasi kwa taifa ambalo liko kama hili?
Tazama 5:7