sw_tn/jer/09/07.md

596 B

Taarifa kwa ujumla

BWANA anaendelea kuongea juu ya watu wa Yuda.

binti wa watu wangu

Tazama 4:11

Ndimi zao ni mishale iliyochongoka

Ndimi huumiza watu kwa uongo katika njia sawa na mishale iliyochongoka inavyoumiza

Kwa midomo yao wanatangaza amani pamoja na jirani zao

"Wanasema kwa maneno yao kuwa wanataka amani na majirani zao."

lakini katika mioyo yao wanadanganya wakati wa kusubiri

"lakini katika uhalisia wanataka kuwaangamiza jirani zao."

Kwa nini nisiwaadhibu kwa sababu ya mambo haya ... kwa nini nisijilipizie kisasi kwa taifa ambalo liko kama hili?

Tazama 5:7