sw_tn/jer/09/01.md

948 B

Taarifa kwa ujumla

BWANA na Yeremia wanaendelea kuongea juu ya watu wa Yuda

Kama kichwa changu kingetoa maji, na macho yangu kuwa chemichemi ya machozi

"Natamani kama ningetengeneza machozi zaidi!"

usiku na mchana

"muda wote."

binti wa watu wangu

Tazama 4:11

ambao wameuawa

"ambao adui amewaua."

Kama mtu angenipatia

"Natamani kama mtu angnipatia"

mahali pa wasafari nyikani nikae

Hii inamaanisha jengo la watu wanaosafairi nyikani, amabalo wanaweza kutulia na kulala wakati wa Usiku.

kuwatelekeza watu wangu

"kuwaacha watu wangu"

kundi la webye hiana

"kundi la watu wanaoweza kusaliti watu

asema BWANA

Tazama 1:7

Huupinda ulmi wao kana kwamba ni upinde ili wapate kuongea uongo

Kuongea uongo hufanywa na ndimi za waovu.

lakini si kwa uaminifu wao

"si waaminifu kwa BWANA."

si kwa uaminifu wao

"hawana nguvu katika kweli."

wanatoka uovu mmoja hadi mwingine

"wanaaendelea kufanya mambo maovu."