# Taarifa kwa ujumla BWANA na Yeremia wanaendelea kuongea juu ya watu wa Yuda # Kama kichwa changu kingetoa maji, na macho yangu kuwa chemichemi ya machozi "Natamani kama ningetengeneza machozi zaidi!" # usiku na mchana "muda wote." # binti wa watu wangu Tazama 4:11 # ambao wameuawa "ambao adui amewaua." # Kama mtu angenipatia "Natamani kama mtu angnipatia" # mahali pa wasafari nyikani nikae Hii inamaanisha jengo la watu wanaosafairi nyikani, amabalo wanaweza kutulia na kulala wakati wa Usiku. # kuwatelekeza watu wangu "kuwaacha watu wangu" # kundi la webye hiana "kundi la watu wanaoweza kusaliti watu # asema BWANA Tazama 1:7 # Huupinda ulmi wao kana kwamba ni upinde ili wapate kuongea uongo Kuongea uongo hufanywa na ndimi za waovu. # lakini si kwa uaminifu wao "si waaminifu kwa BWANA." # si kwa uaminifu wao "hawana nguvu katika kweli." # wanatoka uovu mmoja hadi mwingine "wanaaendelea kufanya mambo maovu."