sw_tn/jer/09/01.md

56 lines
948 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Taarifa kwa ujumla
BWANA na Yeremia wanaendelea kuongea juu ya watu wa Yuda
# Kama kichwa changu kingetoa maji, na macho yangu kuwa chemichemi ya machozi
"Natamani kama ningetengeneza machozi zaidi!"
# usiku na mchana
"muda wote."
# binti wa watu wangu
Tazama 4:11
# ambao wameuawa
"ambao adui amewaua."
# Kama mtu angenipatia
"Natamani kama mtu angnipatia"
# mahali pa wasafari nyikani nikae
Hii inamaanisha jengo la watu wanaosafairi nyikani, amabalo wanaweza kutulia na kulala wakati wa Usiku.
# kuwatelekeza watu wangu
"kuwaacha watu wangu"
# kundi la webye hiana
"kundi la watu wanaoweza kusaliti watu
# asema BWANA
Tazama 1:7
# Huupinda ulmi wao kana kwamba ni upinde ili wapate kuongea uongo
Kuongea uongo hufanywa na ndimi za waovu.
# lakini si kwa uaminifu wao
"si waaminifu kwa BWANA."
# si kwa uaminifu wao
"hawana nguvu katika kweli."
# wanatoka uovu mmoja hadi mwingine
"wanaaendelea kufanya mambo maovu."