sw_tn/jer/08/20.md

549 B

Taarifa kwa ujumla

Yeremia anaendelea kuongea juu ya watu wa Yuda

Mavuno yamepita

"wakati wa mavuno umeisha

Lakini sisi hatujaokoka

"Lakini BWANA hajatuokoa,"

Nimeumia kwa sababu ya binti wa watu wangu

"Ninajisikia vibaya kwa sabau watu wa Yuda wanapitia mambo mabaya sana."

Je, kule Gileadi hakuna dawa? Je, huko hayuko mponyaji?

"Kuna dawa Gileadi! Kuna daktari Gileadi!"

Kwa nini uponyaji wa binti wa watu wangu hauatokei?

"Lakini watu wangu wana vidonda vya kirohokiasi kwamba hiyo dawa na hao waganga hawaezi kuviponya."