sw_tn/jer/08/20.md

24 lines
549 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Taarifa kwa ujumla
Yeremia anaendelea kuongea juu ya watu wa Yuda
# Mavuno yamepita
"wakati wa mavuno umeisha
# Lakini sisi hatujaokoka
"Lakini BWANA hajatuokoa,"
# Nimeumia kwa sababu ya binti wa watu wangu
"Ninajisikia vibaya kwa sabau watu wa Yuda wanapitia mambo mabaya sana."
# Je, kule Gileadi hakuna dawa? Je, huko hayuko mponyaji?
"Kuna dawa Gileadi! Kuna daktari Gileadi!"
# Kwa nini uponyaji wa binti wa watu wangu hauatokei?
"Lakini watu wangu wana vidonda vya kirohokiasi kwamba hiyo dawa na hao waganga hawaezi kuviponya."