# Taarifa kwa ujumla Yeremia anaendelea kuongea juu ya watu wa Yuda # Mavuno yamepita "wakati wa mavuno umeisha # Lakini sisi hatujaokoka "Lakini BWANA hajatuokoa," # Nimeumia kwa sababu ya binti wa watu wangu "Ninajisikia vibaya kwa sabau watu wa Yuda wanapitia mambo mabaya sana." # Je, kule Gileadi hakuna dawa? Je, huko hayuko mponyaji? "Kuna dawa Gileadi! Kuna daktari Gileadi!" # Kwa nini uponyaji wa binti wa watu wangu hauatokei? "Lakini watu wangu wana vidonda vya kirohokiasi kwamba hiyo dawa na hao waganga hawaezi kuviponya."