sw_tn/jer/08/11.md

394 B

Taarifa kwa ujumla

Haya ni maneno ya BWANA kwa watu wa Yuda

Kwa kuwa wameitibu jeraha ya binti za watu wangu ... asema BWANA

Tazama 6:13

jani litanyauka

"jani litakauka"

na chote nilichowapatia kitaisha

Hi inaweza kumaanisha 1) "Niliwapa maelekezo watu wangu, lakini watu wangu hawakutii hayo maelekezo. 2) "kwa hiyo, nimewatoa hawa watu kwa adui zao, ili adui zao wawakanyage."