# Taarifa kwa ujumla Haya ni maneno ya BWANA kwa watu wa Yuda # Kwa kuwa wameitibu jeraha ya binti za watu wangu ... asema BWANA Tazama 6:13 # jani litanyauka "jani litakauka" # na chote nilichowapatia kitaisha Hi inaweza kumaanisha 1) "Niliwapa maelekezo watu wangu, lakini watu wangu hawakutii hayo maelekezo. 2) "kwa hiyo, nimewatoa hawa watu kwa adui zao, ili adui zao wawakanyage."