sw_tn/jer/08/11.md

16 lines
394 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Taarifa kwa ujumla
Haya ni maneno ya BWANA kwa watu wa Yuda
# Kwa kuwa wameitibu jeraha ya binti za watu wangu ... asema BWANA
Tazama 6:13
# jani litanyauka
"jani litakauka"
# na chote nilichowapatia kitaisha
Hi inaweza kumaanisha 1) "Niliwapa maelekezo watu wangu, lakini watu wangu hawakutii hayo maelekezo. 2) "kwa hiyo, nimewatoa hawa watu kwa adui zao, ili adui zao wawakanyage."