sw_tn/jer/08/01.md

60 lines
1.0 KiB
Markdown

# Taarifa kwa ujumla
Yeremia amemaliza kuwaambia watu wa Yuda kitakachotokea katika nchi.
# Wakati huo
Tazama 7:31, 7:33
# asema BWANA
Tazama 1:7
# wataleta
neno "wa" linamaanisha watu watakaoiangamiza Yerusalemu.
# wakuu wake
"wafalme wa Yuda"
# wataitandaza
"neno "wa" linamaanisha mifupa ya watu wa Yuda
# hivi vitu katika anga vimenifuata na kunitumikia
"vitu hivi katika anga ambavyo vilinipenda na kunitumikia," kiwakilishi "vi" kinamaanisha watu wa Yuda.
# kwamba vimetembea na kutafuta
Tazama 2:23
# na kutafuta
"na kwamba wameuliza juu ya"
# mifupa haitakusanywa na kuzikwa
"hakuna atakayekusanya mifupa na kuizika."
# watakuwa kama mavi
"BWANA anaonesha jinsi ambavyo watakuwa si wa kupendeza."
# kama mavi
"kama mbolea"
# juuya uso wa dunia
"katika ardhi yote"
# ambalo nimewafukuza
kiwakilishi "me" kinawakilisha watu wa Yuda
# watachagua mauti badala ya uzima kwa ajili yao, wote ambao watasalia kutokana na taifa hili ovu
"wale ambao bado wamebaki kutoka katika familia hii y a waovu watataka kufa badala ya kuishi"