sw_tn/jer/08/01.md

1.0 KiB

Taarifa kwa ujumla

Yeremia amemaliza kuwaambia watu wa Yuda kitakachotokea katika nchi.

Wakati huo

Tazama 7:31, 7:33

asema BWANA

Tazama 1:7

wataleta

neno "wa" linamaanisha watu watakaoiangamiza Yerusalemu.

wakuu wake

"wafalme wa Yuda"

wataitandaza

"neno "wa" linamaanisha mifupa ya watu wa Yuda

hivi vitu katika anga vimenifuata na kunitumikia

"vitu hivi katika anga ambavyo vilinipenda na kunitumikia," kiwakilishi "vi" kinamaanisha watu wa Yuda.

kwamba vimetembea na kutafuta

Tazama 2:23

na kutafuta

"na kwamba wameuliza juu ya"

mifupa haitakusanywa na kuzikwa

"hakuna atakayekusanya mifupa na kuizika."

watakuwa kama mavi

"BWANA anaonesha jinsi ambavyo watakuwa si wa kupendeza."

kama mavi

"kama mbolea"

juuya uso wa dunia

"katika ardhi yote"

ambalo nimewafukuza

kiwakilishi "me" kinawakilisha watu wa Yuda

watachagua mauti badala ya uzima kwa ajili yao, wote ambao watasalia kutokana na taifa hili ovu

"wale ambao bado wamebaki kutoka katika familia hii y a waovu watataka kufa badala ya kuishi"