sw_tn/jer/07/31.md

48 lines
834 B
Markdown

# Taarifa kwa ujumla
BWANAanaendelea kuelezea maovu ambayo watuwa Yuda wamefanya.
# Mahali palipoinuka pa Tofethi
Hili ni neno la mahali ambapo wana wa Israeli walienda kuwatoa sadaka watoto wao kwa miungu ya uongo kwa kuwateketeza kwa moto.
# Kwenye bonde la Ben Hinomu
Hili ni jina la binde ambalo liko kusini mwa mji wa Yerusalemu, mahali ambapo watu walitoa sadaka kwa miungu ya uongo.
# kwenye moto
"kwenye moto kama sadaka"
# katika akili zangu
"na kikuwahi kufikiri hata kuliamuru jambo hili"
# kwa hiyo tazama
neno "tazama"linaongeza msisitizo kwa kile kinachofuata."
# siku zinakuja
"katika siku za usoni"
# asema BWANA
Tazama 1:7
# hapataitwa tena
"watu hawatapaita"
# bonde la machinjio
"bonde la mauaji"
# watazika maiti
"watu wa Yuda watazika wafu"
# mpka eneo lote lienee
"hakuna eneo litalobaki"