# Taarifa kwa ujumla BWANAanaendelea kuelezea maovu ambayo watuwa Yuda wamefanya. # Mahali palipoinuka pa Tofethi Hili ni neno la mahali ambapo wana wa Israeli walienda kuwatoa sadaka watoto wao kwa miungu ya uongo kwa kuwateketeza kwa moto. # Kwenye bonde la Ben Hinomu Hili ni jina la binde ambalo liko kusini mwa mji wa Yerusalemu, mahali ambapo watu walitoa sadaka kwa miungu ya uongo. # kwenye moto "kwenye moto kama sadaka" # katika akili zangu "na kikuwahi kufikiri hata kuliamuru jambo hili" # kwa hiyo tazama neno "tazama"linaongeza msisitizo kwa kile kinachofuata." # siku zinakuja "katika siku za usoni" # asema BWANA Tazama 1:7 # hapataitwa tena "watu hawatapaita" # bonde la machinjio "bonde la mauaji" # watazika maiti "watu wa Yuda watazika wafu" # mpka eneo lote lienee "hakuna eneo litalobaki"