sw_tn/jer/07/31.md

834 B

Taarifa kwa ujumla

BWANAanaendelea kuelezea maovu ambayo watuwa Yuda wamefanya.

Mahali palipoinuka pa Tofethi

Hili ni neno la mahali ambapo wana wa Israeli walienda kuwatoa sadaka watoto wao kwa miungu ya uongo kwa kuwateketeza kwa moto.

Kwenye bonde la Ben Hinomu

Hili ni jina la binde ambalo liko kusini mwa mji wa Yerusalemu, mahali ambapo watu walitoa sadaka kwa miungu ya uongo.

kwenye moto

"kwenye moto kama sadaka"

katika akili zangu

"na kikuwahi kufikiri hata kuliamuru jambo hili"

kwa hiyo tazama

neno "tazama"linaongeza msisitizo kwa kile kinachofuata."

siku zinakuja

"katika siku za usoni"

asema BWANA

Tazama 1:7

hapataitwa tena

"watu hawatapaita"

bonde la machinjio

"bonde la mauaji"

watazika maiti

"watu wa Yuda watazika wafu"

mpka eneo lote lienee

"hakuna eneo litalobaki"