sw_tn/jer/07/08.md

966 B

Taarifa kwa ujumla

BWANA anaendelea kuongea na watu wa Yuda kupitia kwa nabii Yeremia.

Tazama!

Neno "tazama" linaonyesha kuwa maswali yafuatayo yana umuhimu

Mnatumainia maneno ya uongo ambayo hayawasaidii

"Mnadhdani kuwa nitaiokoa Yerusalemu kwa kwa sababu nitlilinda hekalu langu. Lakini huo ni uongo!"

Je, mnau, mnaiba, mnafanya uzinzi?

"Mnaua, mnaiba, mnafanya uzinzi"

Mnaapa kwa uongona kufukiza uvumba kwa Baali na kwenda kwa miungu mingine ambayo hamkuijua?

"Mnadanganya hata katika viapo vyenu na kumwabudu Baali na miungu mingine."

Je, mnakuja na kusimama ... kufanya machukizo yote haya?

"Kisha mnakuja kwenye nyumba yangu na kusema, ''BWANA atatuokoa" ili kwamba ninyi muendelee kufanya dhambi."

Je, hii ndiyo nyumba inyobeba jina langu, pango la wanyang'nyi mbele ya macho yenu?

"Nyumba hii ni pango la wanyang'anyi mbele ya macho yenu!"

wanyang'anyi

"wezi" au "watu wanaoiba vitu toka kwa watu"

BWANA asema

Tazama 1:7