# Taarifa kwa ujumla BWANA anaendelea kuongea na watu wa Yuda kupitia kwa nabii Yeremia. # Tazama! Neno "tazama" linaonyesha kuwa maswali yafuatayo yana umuhimu # Mnatumainia maneno ya uongo ambayo hayawasaidii "Mnadhdani kuwa nitaiokoa Yerusalemu kwa kwa sababu nitlilinda hekalu langu. Lakini huo ni uongo!" # Je, mnau, mnaiba, mnafanya uzinzi? "Mnaua, mnaiba, mnafanya uzinzi" # Mnaapa kwa uongona kufukiza uvumba kwa Baali na kwenda kwa miungu mingine ambayo hamkuijua? "Mnadanganya hata katika viapo vyenu na kumwabudu Baali na miungu mingine." # Je, mnakuja na kusimama ... kufanya machukizo yote haya? "Kisha mnakuja kwenye nyumba yangu na kusema, ''BWANA atatuokoa" ili kwamba ninyi muendelee kufanya dhambi." # Je, hii ndiyo nyumba inyobeba jina langu, pango la wanyang'nyi mbele ya macho yenu? "Nyumba hii ni pango la wanyang'anyi mbele ya macho yenu!" # wanyang'anyi "wezi" au "watu wanaoiba vitu toka kwa watu" # BWANA asema Tazama 1:7