sw_tn/jer/07/08.md

36 lines
966 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Taarifa kwa ujumla
BWANA anaendelea kuongea na watu wa Yuda kupitia kwa nabii Yeremia.
# Tazama!
Neno "tazama" linaonyesha kuwa maswali yafuatayo yana umuhimu
# Mnatumainia maneno ya uongo ambayo hayawasaidii
"Mnadhdani kuwa nitaiokoa Yerusalemu kwa kwa sababu nitlilinda hekalu langu. Lakini huo ni uongo!"
# Je, mnau, mnaiba, mnafanya uzinzi?
"Mnaua, mnaiba, mnafanya uzinzi"
# Mnaapa kwa uongona kufukiza uvumba kwa Baali na kwenda kwa miungu mingine ambayo hamkuijua?
"Mnadanganya hata katika viapo vyenu na kumwabudu Baali na miungu mingine."
# Je, mnakuja na kusimama ... kufanya machukizo yote haya?
"Kisha mnakuja kwenye nyumba yangu na kusema, ''BWANA atatuokoa" ili kwamba ninyi muendelee kufanya dhambi."
# Je, hii ndiyo nyumba inyobeba jina langu, pango la wanyang'nyi mbele ya macho yenu?
"Nyumba hii ni pango la wanyang'anyi mbele ya macho yenu!"
# wanyang'anyi
"wezi" au "watu wanaoiba vitu toka kwa watu"
# BWANA asema
Tazama 1:7