sw_tn/jer/07/05.md

48 lines
667 B
Markdown

# Taarifa kwa ujumla
Haya ni maneno ya BWANA kwa watu wa Yuda.
# kama mtatoa hukumu ya haki kabia
"kama mtafanya kabisa"
# kama mtazitengeneza njia zenu na kufanya mema
Tazama 7:3
# kama mtatoa hukumu ya haki
"kama mtawatendea watu kwa haki
# kama hamtamnyonya ayekaa katika nchi
"kuwatendea vyema wageni wanaokaa katika nchi"''
# yatima
watoto ambao baba zao wameshafariki
# hamtamwaga damu ya mtu asiye na hatia
"hamtaua watu wasio na hatia."
# kama hataenda
"hamtaabudu"
# kwa ajili ya maumivu yenu
"ili kwamba vitu vibaya vkataokea kwako"
# mahali hapa
katika nchi ya Israeli
# nitawaacha mkae
"nitawaacha muishi"
# hata milele
"na milele"