sw_tn/jer/07/05.md

667 B

Taarifa kwa ujumla

Haya ni maneno ya BWANA kwa watu wa Yuda.

kama mtatoa hukumu ya haki kabia

"kama mtafanya kabisa"

kama mtazitengeneza njia zenu na kufanya mema

Tazama 7:3

kama mtatoa hukumu ya haki

"kama mtawatendea watu kwa haki

kama hamtamnyonya ayekaa katika nchi

"kuwatendea vyema wageni wanaokaa katika nchi"''

yatima

watoto ambao baba zao wameshafariki

hamtamwaga damu ya mtu asiye na hatia

"hamtaua watu wasio na hatia."

kama hataenda

"hamtaabudu"

kwa ajili ya maumivu yenu

"ili kwamba vitu vibaya vkataokea kwako"

mahali hapa

katika nchi ya Israeli

nitawaacha mkae

"nitawaacha muishi"

hata milele

"na milele"