# Taarifa kwa ujumla Haya ni maneno ya BWANA kwa watu wa Yuda. # kama mtatoa hukumu ya haki kabia "kama mtafanya kabisa" # kama mtazitengeneza njia zenu na kufanya mema Tazama 7:3 # kama mtatoa hukumu ya haki "kama mtawatendea watu kwa haki # kama hamtamnyonya ayekaa katika nchi "kuwatendea vyema wageni wanaokaa katika nchi"'' # yatima watoto ambao baba zao wameshafariki # hamtamwaga damu ya mtu asiye na hatia "hamtaua watu wasio na hatia." # kama hataenda "hamtaabudu" # kwa ajili ya maumivu yenu "ili kwamba vitu vibaya vkataokea kwako" # mahali hapa katika nchi ya Israeli # nitawaacha mkae "nitawaacha muishi" # hata milele "na milele"