sw_tn/jer/06/25.md

367 B

Taarifa kwa ujumla

Hii yawezekana BWANA anaongea na binti wa Yerusalemu wanaowakilisha watu wote w a Yerusalemu

Binti za watu wangu

Tazama 4:11

jivikeni magunia nakugaagaa kwenye majivu ya ya maombolezo ya mwana pekee.

"iweni wenye huzuni"

kwa kuwa anayewaangamiza anakuja kwetu ghafla juu yetu

"kwa sababu jeshi la adui linakuja ghafla kutuangamiza"