# Taarifa kwa ujumla Hii yawezekana BWANA anaongea na binti wa Yerusalemu wanaowakilisha watu wote w a Yerusalemu # Binti za watu wangu Tazama 4:11 # jivikeni magunia nakugaagaa kwenye majivu ya ya maombolezo ya mwana pekee. "iweni wenye huzuni" # kwa kuwa anayewaangamiza anakuja kwetu ghafla juu yetu "kwa sababu jeshi la adui linakuja ghafla kutuangamiza"