sw_tn/jer/06/25.md

16 lines
367 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Taarifa kwa ujumla
Hii yawezekana BWANA anaongea na binti wa Yerusalemu wanaowakilisha watu wote w a Yerusalemu
# Binti za watu wangu
Tazama 4:11
# jivikeni magunia nakugaagaa kwenye majivu ya ya maombolezo ya mwana pekee.
"iweni wenye huzuni"
# kwa kuwa anayewaangamiza anakuja kwetu ghafla juu yetu
"kwa sababu jeshi la adui linakuja ghafla kutuangamiza"