sw_tn/jer/06/23.md

608 B

Watachukua

"Watashikilia" kiwakilshi cha "wa" kinamanisha wale wanajeshi wale watakaotoka kasazini.

Sauti zao ni kama muungurumo wa bahari

"sauti ile wanayoifanya ni ya muunagurumo mkali kama ya bahari

katika mfumo wa wanaume wa vita

"lile jeshi limejipanga vizuri ili kwamba wale wanaume waingie vitani"

enyi binti wa Sayuni

Tazama 4:30

Tumesikia

Kiwakilishi "tu" yawezekana kinamwakilisha Yeremia akiongea na watu wote wa Yuda.

inalegea kwa dhiki

"imelegea kwa sababu tuna mashaka"

maumivu yametukmata

"Tuko kwenye maumivu"

kama utungu wa mwanamke

"kama mwana mke anayezaa"