sw_tn/jer/06/23.md

32 lines
608 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Watachukua
"Watashikilia" kiwakilshi cha "wa" kinamanisha wale wanajeshi wale watakaotoka kasazini.
# Sauti zao ni kama muungurumo wa bahari
"sauti ile wanayoifanya ni ya muunagurumo mkali kama ya bahari
# katika mfumo wa wanaume wa vita
"lile jeshi limejipanga vizuri ili kwamba wale wanaume waingie vitani"
# enyi binti wa Sayuni
Tazama 4:30
# Tumesikia
Kiwakilishi "tu" yawezekana kinamwakilisha Yeremia akiongea na watu wote wa Yuda.
# inalegea kwa dhiki
"imelegea kwa sababu tuna mashaka"
# maumivu yametukmata
"Tuko kwenye maumivu"
# kama utungu wa mwanamke
"kama mwana mke anayezaa"