# Watachukua "Watashikilia" kiwakilshi cha "wa" kinamanisha wale wanajeshi wale watakaotoka kasazini. # Sauti zao ni kama muungurumo wa bahari "sauti ile wanayoifanya ni ya muunagurumo mkali kama ya bahari # katika mfumo wa wanaume wa vita "lile jeshi limejipanga vizuri ili kwamba wale wanaume waingie vitani" # enyi binti wa Sayuni Tazama 4:30 # Tumesikia Kiwakilishi "tu" yawezekana kinamwakilisha Yeremia akiongea na watu wote wa Yuda. # inalegea kwa dhiki "imelegea kwa sababu tuna mashaka" # maumivu yametukmata "Tuko kwenye maumivu" # kama utungu wa mwanamke "kama mwana mke anayezaa"