sw_tn/jer/06/11.md

777 B

Lakini nimejazwa

Anayeongea na Yeremia

nimejazwa na hasira za BWANA

"nina hasira sana pamoja na BWANA."

Nimechoka kuizuia

"Nimechoka kutoisema hasira ya BWANA"

Imwage mbele ya watoto mitaani

"watoto mitani" inamaanisha watoto wote katika mji. "Iseme hasira yangu kwa watoto wa mji"

Kwa kuwa kila mume atachukuliwa pamoja na mke wake

"Kwa sababu adui watakamata mume na mke wake."

kila mzee mwenye miaka mingi

"mwenye miaka mingi" inamaanisha "mzee sana" "kila mzee sana"

watapewa watu wengine

"itakuwa mali ya mtu mwingne"

mashamba yao na wake zao pamoja

"mashamba yao na wake zao pamoja"

Kwa kuwa nitaangamiza wakazi wa mji kwa mkono wangu

"Kwa kuwa nitatumia nguvu zangu kuwaangamiza watu wanaoishi katika nchi"

asema BWANA

Tazama 1:7