sw_tn/jer/06/11.md

40 lines
777 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Lakini nimejazwa
Anayeongea na Yeremia
# nimejazwa na hasira za BWANA
"nina hasira sana pamoja na BWANA."
# Nimechoka kuizuia
"Nimechoka kutoisema hasira ya BWANA"
# Imwage mbele ya watoto mitaani
"watoto mitani" inamaanisha watoto wote katika mji. "Iseme hasira yangu kwa watoto wa mji"
# Kwa kuwa kila mume atachukuliwa pamoja na mke wake
"Kwa sababu adui watakamata mume na mke wake."
# kila mzee mwenye miaka mingi
"mwenye miaka mingi" inamaanisha "mzee sana" "kila mzee sana"
# watapewa watu wengine
"itakuwa mali ya mtu mwingne"
# mashamba yao na wake zao pamoja
"mashamba yao na wake zao pamoja"
# Kwa kuwa nitaangamiza wakazi wa mji kwa mkono wangu
"Kwa kuwa nitatumia nguvu zangu kuwaangamiza watu wanaoishi katika nchi"
# asema BWANA
Tazama 1:7