# Lakini nimejazwa Anayeongea na Yeremia # nimejazwa na hasira za BWANA "nina hasira sana pamoja na BWANA." # Nimechoka kuizuia "Nimechoka kutoisema hasira ya BWANA" # Imwage mbele ya watoto mitaani "watoto mitani" inamaanisha watoto wote katika mji. "Iseme hasira yangu kwa watoto wa mji" # Kwa kuwa kila mume atachukuliwa pamoja na mke wake "Kwa sababu adui watakamata mume na mke wake." # kila mzee mwenye miaka mingi "mwenye miaka mingi" inamaanisha "mzee sana" "kila mzee sana" # watapewa watu wengine "itakuwa mali ya mtu mwingne" # mashamba yao na wake zao pamoja "mashamba yao na wake zao pamoja" # Kwa kuwa nitaangamiza wakazi wa mji kwa mkono wangu "Kwa kuwa nitatumia nguvu zangu kuwaangamiza watu wanaoishi katika nchi" # asema BWANA Tazama 1:7