sw_tn/jer/06/09.md

36 lines
752 B
Markdown

# Hakika wataokota mabaki ya Israeli waliobaki kama zabibu
"Watarudikuwaangamiza Waisraeli waliobaki Israeli baada ya kuwa wamewaanagamiza."
# Hakika wata
Kiwakilishi "wa" kinawakilisha lile jeshi ambalo BWANA analituma kuiangmiza Israeli.
# Nyosha mkono wako
BWANA anaongea na adaui wanaowangamiza Israeli.
# Nyosha mkono wako ili uchume Zabibu
"Njoni muwaangamize Waisraeli."
# Nitamwambia nani
Yeremia anaongea
# Nitamwambaia nani na kumwonya nani ili wasikilize
"Hakunaaliyebaki kwangu wa kumwambian a kumwonya ili anisikilize."
# Tazama
BWANA anatumia neno hili "tazama" ili kusisitiza anachokisema.
# Masikio yao hayakutahiriwa
"Wanakataa kusikiliza" au "Wanakataa kutii"
# Masikio yao
"Kiwakilishi "yao" kinamaanisha Waisraeli.