# Hakika wataokota mabaki ya Israeli waliobaki kama zabibu "Watarudikuwaangamiza Waisraeli waliobaki Israeli baada ya kuwa wamewaanagamiza." # Hakika wata Kiwakilishi "wa" kinawakilisha lile jeshi ambalo BWANA analituma kuiangmiza Israeli. # Nyosha mkono wako BWANA anaongea na adaui wanaowangamiza Israeli. # Nyosha mkono wako ili uchume Zabibu "Njoni muwaangamize Waisraeli." # Nitamwambia nani Yeremia anaongea # Nitamwambaia nani na kumwonya nani ili wasikilize "Hakunaaliyebaki kwangu wa kumwambian a kumwonya ili anisikilize." # Tazama BWANA anatumia neno hili "tazama" ili kusisitiza anachokisema. # Masikio yao hayakutahiriwa "Wanakataa kusikiliza" au "Wanakataa kutii" # Masikio yao "Kiwakilishi "yao" kinamaanisha Waisraeli.