sw_tn/jer/06/09.md

752 B

Hakika wataokota mabaki ya Israeli waliobaki kama zabibu

"Watarudikuwaangamiza Waisraeli waliobaki Israeli baada ya kuwa wamewaanagamiza."

Hakika wata

Kiwakilishi "wa" kinawakilisha lile jeshi ambalo BWANA analituma kuiangmiza Israeli.

Nyosha mkono wako

BWANA anaongea na adaui wanaowangamiza Israeli.

Nyosha mkono wako ili uchume Zabibu

"Njoni muwaangamize Waisraeli."

Nitamwambia nani

Yeremia anaongea

Nitamwambaia nani na kumwonya nani ili wasikilize

"Hakunaaliyebaki kwangu wa kumwambian a kumwonya ili anisikilize."

Tazama

BWANA anatumia neno hili "tazama" ili kusisitiza anachokisema.

Masikio yao hayakutahiriwa

"Wanakataa kusikiliza" au "Wanakataa kutii"

Masikio yao

"Kiwakilishi "yao" kinamaanisha Waisraeli.