sw_tn/jer/06/01.md

56 lines
1022 B
Markdown

# Taarifa kwa ujumla
BWANA anaongea
# Tafuteni mahali salama
"iweni wakimbizi"
# Pigenji tarumbeta
"enyi watu mnaoishi katika mji wa Tekoa jiandaeni kuangamizwa"
# Tekoa
hili ni jinala mji ulio kilomita 18 kusini mwa Yerusalemu. Maana ya jina ni "pembe la kupuliza"
# Simamisheni ishara juu ya Beth-Hakeremu,
"Enyi watu mnaoishi katika mji wa Beth-Hakeremu; jiandaeni kuzingirwa"
# Beth-Hakeremu
Hili nij ina mji ulio kilomita 10kusini mwa Yerusalemu. Jna linamaanisha "mahali pa mizabibu."
# ishara
"ishara ya kuwaonya watu kuwa kuna inakuja
# kwa uovu unaoonekana
"kwa kuwa watu wanona kuwa kuna janga linalokuja"
# pigo kubwa linakuja
"maangamizi makubwa"
# Binti za Sayuni, warembo na mwororo
"Binti za Syuni ambao ni kama warembo na mwororo"
# Binti za Sayuni
Tazama 4:30
# wachungaji na kondoo wao watawaendea
"Wafame na wanajeshi wataizingira Yerusalemu
# zikiwazunguka pande zote
"karibu naye pande zote
# kila mtu atachunga kwa mkono wake
"kila mfalme ataangamiza akiwa na askari wake"